10 Lakini, kwa neema yake Mungu, nimekuwa kama nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure. Mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya Mungu ifanyayo kazi pamoja nami.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15
Mtazamo 1 Wakorintho 15:10 katika mazingira