1 Wakorintho 15:24 BHN

24 Baada ya hayo, mwisho utafika wakati ambapo Kristo atamkabidhi Mungu Baba ufalme, baada ya kufutilia mbali kila tawala na mamlaka na nguvu.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15

Mtazamo 1 Wakorintho 15:24 katika mazingira