1 Wakorintho 15:3 BHN

3 Mimi niliwakabidhi nyinyi mambo muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: Kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na Maandiko Matakatifu;

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15

Mtazamo 1 Wakorintho 15:3 katika mazingira