1 Wakorintho 15:37 BHN

37 Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15

Mtazamo 1 Wakorintho 15:37 katika mazingira