39 Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15
Mtazamo 1 Wakorintho 15:39 katika mazingira