1 Wakorintho 15:42 BHN

42 Ndivyo ilivyo kuhusu ufufuo wa wafu. Kama vile mbegu, mwili huzikwa ardhini ukiwa katika hali ya kuharibika, lakini hufufuliwa katika hali ya kutoharibika.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15

Mtazamo 1 Wakorintho 15:42 katika mazingira