1 Wakorintho 15:58 BHN

58 Basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa Bwana haitapotea bure.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 15

Mtazamo 1 Wakorintho 15:58 katika mazingira