1 Wakorintho 16:11 BHN

11 Kwa hiyo mtu yeyote asimdharau, ila msaidieni aendelee na safari yake kwa amani ili aweze kurudi kwangu, maana mimi namngojea pamoja na ndugu zetu.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 16

Mtazamo 1 Wakorintho 16:11 katika mazingira