1 Wakorintho 16:19 BHN

19 Makanisa yote ya Asia yanawasalimuni. Akula na Priska pamoja na watu wote wa Mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika kuungana na Bwana.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 16

Mtazamo 1 Wakorintho 16:19 katika mazingira