1 Wakorintho 2:9 BHN

9 Lakini, ni kama yasemavyo Maandiko Matakatifu:“Mambo ambayo jicho halijapata kuyaona,wala sikio kuyasikia,mambo ambayo binadamu hajapata kuyafikiria moyoni,hayo ndiyo Mungu aliyowatayarishia wale wampendao.”

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 2

Mtazamo 1 Wakorintho 2:9 katika mazingira