1 Wakorintho 3:8 BHN

8 Yule aliyepanda na yule aliyemwagilia maji wote ni sawa, ingawa kila mmoja atapokea tuzo lake kufuatana na jitihada yake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 3

Mtazamo 1 Wakorintho 3:8 katika mazingira