1 Wakorintho 4:10 BHN

10 Sisi ni wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini nyinyi ni wenye busara katika kuungana na Kristo! Sisi ni dhaifu, nyinyi ni wenye nguvu. Nyinyi mnaheshimika, sisi tunadharauliwa.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 4

Mtazamo 1 Wakorintho 4:10 katika mazingira