1 Wakorintho 4:15 BHN

15 Maana hata kama mnao maelfu ya walezi katika maisha yenu ya Kikristo, baba yenu ni mmoja tu, kwani katika kuungana na Kristo mimi ndiye niliyewazaeni kwa kuihubiri Habari Njema.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 4

Mtazamo 1 Wakorintho 4:15 katika mazingira