1 Wakorintho 4:17 BHN

17 Ndiyo maana nimemtuma Timotheo kwenu. Yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu katika kuungana na Bwana. Atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuungana na Kristo; njia ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 4

Mtazamo 1 Wakorintho 4:17 katika mazingira