1 Wakorintho 4:5 BHN

5 Basi, msihukumu kabla ya wakati wake; acheni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonesha wazi nia za mioyo ya watu. Ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 4

Mtazamo 1 Wakorintho 4:5 katika mazingira