8 Haya! Mmekwisha shiba! Mmekwisha kuwa matajiri! Mmekuwa wafalme bila ya sisi! Naam, laiti mngekuwa kweli watawala, ili nasi pia tutawale pamoja nanyi.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 4
Mtazamo 1 Wakorintho 4:8 katika mazingira