1 Wakorintho 5:1 BHN

1 Ziko habari za kuaminika kwamba kuna uzinzi miongoni mwenu; tena ni uzinzi mbaya ambao haujapata kuwako hata kati ya watu wasiomjua Mungu. Nimeambiwa eti mmoja wenu anaishi na mke wa baba yake!

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 5

Mtazamo 1 Wakorintho 5:1 katika mazingira