1 Wakorintho 5:11 BHN

11 Nilichoandika ni hiki: Msishirikiane na ndugu Mkristo aliye mzinzi, mchoyo, mwenye kuabudu sanamu, mchongezi, mlevi na mlaghai. Mtu wa namna hiyo, hata kula msile naye.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 5

Mtazamo 1 Wakorintho 5:11 katika mazingira