1 Wakorintho 5:7 BHN

7 Jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu kama mnavyopaswa kuwa; maana, Kristo, Pasaka yetu, amekwisha tolewa kuwa sadaka.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 5

Mtazamo 1 Wakorintho 5:7 katika mazingira