1 Wakorintho 6:15 BHN

15 Je, hamjui kwamba miili yenu ni viungo vya mwili wa Kristo? Je, mnadhani naweza kuchukua sehemu ya mwili wa Kristo na kuifanya kuwa sehemu ya mwili wa kahaba? Hata kidogo!

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 6

Mtazamo 1 Wakorintho 6:15 katika mazingira