1 Wakorintho 7:11 BHN

11 lakini kama akiachana naye, basi abaki bila kuolewa; ama la, apatanishwe na mume wake. Mume naye asimpe talaka mkewe.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:11 katika mazingira