1 Wakorintho 7:22 BHN

22 Maana yeye aliyeitwa na Bwana akiwa mtumwa huyo huwa mtu huru wa Bwana. Hali kadhalika naye aliyeitwa akiwa mtu huru, huwa mtumwa wa Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:22 katika mazingira