1 Wakorintho 7:35 BHN

35 Nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa kuwawekeeni kizuizi. Nataka tu muwe na mpango unaofaa, mpate kumtumikia Bwana kwa moyo na nia moja.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:35 katika mazingira