37 Lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7
Mtazamo 1 Wakorintho 7:37 katika mazingira