1 Wakorintho 7:4 BHN

4 Mke hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mumewe anayo; hali kadhalika naye mume, hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mkewe anayo.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 7

Mtazamo 1 Wakorintho 7:4 katika mazingira