1 Wakorintho 8:10 BHN

10 Maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 8

Mtazamo 1 Wakorintho 8:10 katika mazingira