1 Wakorintho 8:12 BHN

12 Kama mkiwakosesha ndugu zenu jinsi hiyo, na kuzijeruhi dhamiri zao dhaifu, mtakuwa mmemkosea Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 8

Mtazamo 1 Wakorintho 8:12 katika mazingira