15 Lakini, mimi sikutumia hata mojawapo ya haki hizo. Na wala siandiki nijipatie haki hizo; kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kumfanya yeyote aone kwamba najisifu bure.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 9
Mtazamo 1 Wakorintho 9:15 katika mazingira