17 Ningekuwa nimeichagua kazi hii kwa hiari, basi, ningetazamia malipo; lakini maadamu naifanya ikiwa ni wajibu, hiyo ina maana kwamba ni jukumu nililopewa nitekeleze.
Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 9
Mtazamo 1 Wakorintho 9:17 katika mazingira