1 Wathesalonike 1:10 BHN

10 na sasa mwamngojea Mwanae ashuke kutoka mbinguni, yaani Yesu, ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu na ambaye anatuokoa katika ghadhabu ya Mungu inayokuja.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 1

Mtazamo 1 Wathesalonike 1:10 katika mazingira