1 Wathesalonike 1:8 BHN

8 Maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa Bwana umesikika si huko Makedonia na Akaya tu, bali imani yenu kwa Mungu imeenea popote. Tena hatuhitaji kusema zaidi.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 1

Mtazamo 1 Wathesalonike 1:8 katika mazingira