1 Wathesalonike 4:1 BHN

1 Hatimaye, ndugu zangu, mmejifunza kutoka kwetu namna mnavyopaswa kuishi ili kumpendeza Mungu. Na kweli mmekuwa mnaishi hivyo. Sasa tunawaombeni na kuwasihi kwa jina la Bwana Yesu mfanye vema zaidi.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 4

Mtazamo 1 Wathesalonike 4:1 katika mazingira