1 Wathesalonike 4:11 BHN

11 Muwe na nia ya kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo yake mwenyewe na afanye kazi kwa mikono yake mwenyewe kama tulivyowaagiza pale awali.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 4

Mtazamo 1 Wathesalonike 4:11 katika mazingira