1 Wathesalonike 4:9 BHN

9 Hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya kuwapenda ndugu zenu waumini. Nyinyi wenyewe mmefundishwa na Mungu namna mnavyopaswa kupendana.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 4

Mtazamo 1 Wathesalonike 4:9 katika mazingira