1 Wathesalonike 5:15 BHN

15 Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 5

Mtazamo 1 Wathesalonike 5:15 katika mazingira