1 Wathesalonike 5:23 BHN

23 Mungu mwenyewe anayetupatia amani awatakase nyinyi kabisa kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu – roho, mioyo na miili yenu – mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 5

Mtazamo 1 Wathesalonike 5:23 katika mazingira