1 Wathesalonike 5:3 BHN

3 Watu watakapokuwa wanasema: “Kila kitu ni shwari na salama”, ndipo uharibifu utakapowaangukia ghafla! Mambo hayo yatatukia ghafla kama uchungu wa uzazi unavyomjia mama anayejifungua, wala watu hawataweza kuepukana nayo.

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 5

Mtazamo 1 Wathesalonike 5:3 katika mazingira