1 Wathesalonike 5:9 BHN

9 Maana Mungu hakututeua ili tuangamizwe na ghadhabu yake, bali tuupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo

Kusoma sura kamili 1 Wathesalonike 5

Mtazamo 1 Wathesalonike 5:9 katika mazingira