13 Nawaandikieni nyinyi kina baba kwani mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo.Nawaandikieni nyinyi vijana kwa sababu mmemshinda yule Mwovu.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 2
Mtazamo 1 Yohane 2:13 katika mazingira