16 Vitu vyote vya ulimwengu – tamaa mbaya za mwili, vitu wanavyoviona watu na kuvitamani, majivuno yasababishwayo na mali – vyote hivyo havitoki kwa Baba, bali vyatoka kwa ulimwengu.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 2
Mtazamo 1 Yohane 2:16 katika mazingira