24 Basi, ujumbe ule mliousikia tangu mwanzo na ukae mioyoni mwenu. Kama ujumbe huo mliousikia tangu mwanzo ukikaa ndani yenu, basi, mtaishi daima katika umoja na Mwana na Baba.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 2
Mtazamo 1 Yohane 2:24 katika mazingira