1 Yohane 4:1 BHN

1 Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 4

Mtazamo 1 Yohane 4:1 katika mazingira