1 Yohane 4:6 BHN

6 Lakini sisi ni wake Mungu. Mtu anayemjua Mungu hutusikiliza, mtu asiye wa Mungu hatusikilizi. Basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti kati ya Roho wa ukweli na roho wa uongo.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 4

Mtazamo 1 Yohane 4:6 katika mazingira