10 Anayemwamini Mwana wa Mungu anao ushahidi huo ndani yake; lakini asiyemwamini Mungu, anamfanya yeye kuwa mwongo, maana hakuamini ushahidi alioutoa Mungu juu ya Mwanae.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 5
Mtazamo 1 Yohane 5:10 katika mazingira