18 Tunajua kwamba kila aliye mtoto wa Mungu hatendi dhambi, kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda salama, na yule Mwovu hawezi kumdhuru.
Kusoma sura kamili 1 Yohane 5
Mtazamo 1 Yohane 5:18 katika mazingira