12 Kwa hiyo nitaendelea kuwakumbusheni daima mambo haya, ingawa mmekwisha yafahamu na mko imara katika ukweli mlioupokea.
Kusoma sura kamili 2 Petro 1
Mtazamo 2 Petro 1:12 katika mazingira