18 Husema maneno ya majivuno na yasiyo na maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega wale ambao wamejitenga hivi karibuni na watu waishio katika udanganyifu.
Kusoma sura kamili 2 Petro 2
Mtazamo 2 Petro 2:18 katika mazingira