2 Petro 2:20 BHN

20 Watu waliokwisha ponyoka katika upotovu wa ulimwengu kwa kupata kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, kisha wakakubali kunaswa na kutawaliwa tena na upotovu huo, hali yao itakuwa mbaya zaidi kuliko awali.

Kusoma sura kamili 2 Petro 2

Mtazamo 2 Petro 2:20 katika mazingira