2 Petro 2:22 BHN

22 Ipo methali isemayo: “Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe,” na nyingine isemayo: “Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!” Ndivyo ilivyo kwao sasa.

Kusoma sura kamili 2 Petro 2

Mtazamo 2 Petro 2:22 katika mazingira