2 Petro 3:10 BHN

10 Siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.

Kusoma sura kamili 2 Petro 3

Mtazamo 2 Petro 3:10 katika mazingira